Posts

Showing posts from June, 2025

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

Image
 

VIDEO

 

HISTORIA YA ZANZIBAR

 Zanzibar ni kisiwa kinacho patikana afrika mashariki katika bahari ya hindi . kisiwa hichi cha zanzibar kili tawaliwa na wageni mbali mbali kutokea mataifa ya kigeni ikiwemo uarabuni .Zanzibar ilitawaliwa sana na waarabu na ilikuwa chini ya utawala wa kiarabu hapo zama kabla ya kupata uhuru .zanzibar baada ya kutawalwa na waarabu wenyewe wa zanzibari waliamuwa kutafuta uhuru wao katika mwaka 1964,  chini ya chama cha afroshirazi party .Zanzibar ili pata uhuru 12/1/1964 na kiongozi wa chama hicho ambaye yeye alikuwa raisi wa kwanza wa Zanzibar sheikh ABEID AMANI KARUME . Zanzibar pia ilikuwa ikijulikana kama soko la kuuzwa watumwa nchi mbalimbali zilichukua watumwa Zanzibar 

document

  card.docx

PICTURE

Image
  WELCOME all of you to Zanzibar beach . a wonderful place to enjoy you and your family .all of you are welcome.

MATOKEO

 ALI KHAMIS  JAKI MAKAME ISSA MUNZIR KASSIM MOH'D  AMINA MUSSA    JAMILA HAJI MWINYI